Msiba Uchira - Moshi

Marehemu Mch Daniel J. Angowi aliyefariki tar 21/09/2011 huko Moshi kwa ajali ya pikipiki na alizikwa tar 26/09/2011 huko Uchira Moshi.
Baba wa marehemu Ask Jesse Angowi akisubiri jeneza kuletwa ndani ya nyumba yao tayari kwa heshima za mwisho.
Baadhi ya umati wa watu walio hudhuria mazishi ya Mch Daniel Angowi

Add caption

Post a Comment

About This Blog

  © Blogger template Shush by Ourblogtemplates.com 2009

Back to TOP