Raisi Mstaafu wa Msumbiji akipata maelezo kutoka kwa mmoja wa wadau wa miti wa milonge huko Bagamoyo
Majani ya Mlonge yakiwa yameanikwa kwenye chumba chenye giza ili isipoteze ubora wake kwa ajili ya kusagwa na kutoa unga ambao unaweza kutumiwa kwa matumizi mbali mbali.