Daraja la Karanga Tangu Mwaka 1939

Daraja la Karanga, Zamani lilikuwa linaunganisha kati ya Moshi na Arusha ilikuwa ndiyo barabara kuu. Lilijengwa na Waitaliano mwaka 1939-1945. Mpaka sasa hivi hili daraja lipo, Je madaraja tunayojenga sasa hivi inakuwaje hayadumu? Uchakachuaji umezidi lete maoni yako na kwa wale wanaolifahamu lete habari zaidi.

Post a Comment

About This Blog

  © Blogger template Shush by Ourblogtemplates.com 2009

Back to TOP